Saturday, May 8, 2010

karibuni sana apa ndio nyumbani


jamani awa wa dada sio wa tanzania ni watu wakameruni ila kwa sasa wapo dubei ndio makazi yao pia warikuja apa nchini tanzania maramoja ndo wakaona sio vema bira ya kumuona dr.manyaunyau kwani wenyewe usema ata uko dubei upata sifazangu japo walivo niona live walichoka kwani matarajio yao ramda ni mbabu kumbe nikijana mwezetu poa

0 comments:

 
Design by Kwetu Bongo