Saturday, May 22, 2010
MDAU KUTOKA USA ATOA BIG UP KWA DR.
5:39:00 PM
MANYAUNYAU TIBA ASILIA
No comments
Anaitwa Joseph nzi (kulia) kwa sasa yupo nchini USA ana kula bata kwa sana 2, mchizi huyu ni besti yangu kupita maelezo kwani, hivi majuzi kati kanitumia salamu za kufa mtu baada ya kumfanikishia kufika katika pande hizo za hensaome boy we2 Barack Obama ambapo hivi anasema mambo yake si mabaya sana any way pia nami nampa big up.
0 comments:
Post a Comment