Wednesday, June 2, 2010

KIJANA MDOGOOO ETI MCHAWI
Pichani ni kijana mwenye umri wa miaka 19 ambaye anatuhumiwa na jamii inayomzunga akidaiwa kujihusiha na mambo ya kishirikina kwa madai ya kurithishwa uchafu huo, tukio hilo lilitokea maeneo ya Jet Lumo kiwalani baada ya wananchi kumtaka mganga wa tiba za asili ambaye pia ni kiboko ya wachawi Dr. Manyaunyau kwenda kuwasafishia mtaa wao huo uliokithiri kwa mambo hayo ya kishirikina.
n KUNA KITU HAPA
Dr. Manyaunyau akisaka baadhi ya vitu vinavyoaminika kuwa ni uchawi ambao umefukiwa katika moja ya nyumba huko Jet Lumo Kiwalani Dar es Salaam.

0 comments:

 
Design by Kwetu Bongo