Sunday, May 23, 2010

Kobe wa babu asumbua mitaa


Dr.manyau amtoa nishai babu wabusala ilikuwa maeneo ya mazese babu uyu jina kapuni. mkazi wa mazese alikuwa anafunga kobe wa ajabu ndani kwake adi kusababisha mazala makubwa kwa
watu waliyokuwa wanaishi ndani yaiyo nyumba kwani watu wakiweka pesa ndani ukuta azipo yani uyu kobe ndio ubeba na kumpelekea yeye ili aweze kuishi vizuri wezake wateseke pia uwabeba watu wakiwa kwenye usingizi ndipo walivo amua kumtafuta kiboko yake dr.manyaunyau na kuja kutoa vibwanga vyake vyote hadi kunyolewa nwele zake akabaki na upara kwa sasa ni msafi na akiludia tena basi ata kwenda namaji?

1 comments:

Anonymous said...

nimependa kama ni kweli nitawatafuta kwani mkwe wangu ananitesa kwenye nyumba yangu

 
Design by Kwetu Bongo