Wednesday, May 26, 2010

MAUMBILE YA MAJINI NA SIFA ZAKE

Ndugu msomaji,Lazima utambue ya kwamba majini ni viumbe wa Allah(s.w)kama ilivyo
binadam,ika tofauti yetu ni kwamba wao wameubwa kwa moto na sisi tumeubwa kwa udongo,jingine ni kwamba majini wanasafiri haraka sana kuliko chombo chochote alichotengeza mwanadamu, pia wanauwazo wa kumuona mwanadamu na mwanadamu hawezi kumuona jinni ila mwenyewe jinni apende kujionyesha,wanaweza kujibadirishamaumbile ya viumbe mbambali,wanaweza kuingia mwilini mwabinadamu kwa njia ya ewa nakuathiri kiungo chochote wapendacho au ata kukaa katika ubongo na kumpandikiza mwanadamu fikra mbovu,wanaweza kuzini nawanadamu bila ya wanadamu kujitambua bali watachohisi ni tendo hilo kupitia ndoto,na wengine hujitokeza kwa watu na kuzini nao dhairi kwa kuwatenza nguvu na wasiwezekufanya chochote cha kujinusuru,na jingine majini wanaishi umri mrefu kuliko wanadamu.............cha hatari zaidi ni kwamba pamoja na uwazohuo wote baadhi yao wanajenga uadui nawanadamu ili wawapoteze nao wanadamu wakadhani ni neema na wakaanza kuwafanya marafiki.uwezo huu waliopewa majini mwanadamu hwazi kusalimika kutekwa na hawa viumbe ila wafuate sheria za mwenyezi mungu na mafundisho sahihi ya mtume(s.a.w)la sivyo akleta akileta akili yake ya kibinadamu.ameanngamia,kwani adui yake ana uwwzo wa kimaumbile kuliko yeye kwa sababu wametofautiana kimaumbile?

0 comments:

 
Design by Kwetu Bongo