Monday, November 15, 2010

ulinzi wakutosha apo
















dr.manyaunyau ni kijana wakazi nani asie jua africa nzima wana tambua mchango wake kwa jamii ivo usije pata tatizo ukashidwa eleza ata kidongo kwani yeye ujivunia kipaji chake na iko kipaji pia nae amepewa na mungu na yeye basi ana budi kuwasaidia na wale wa sio nacho kumbu waenga usema mficha marazi basi umauti utamumbua kama ilipo tatizo basi mtumie japo imeli. nae atakujibu au sim yake ya kiganjani

2 comments:

Anonymous said...

du dr. unatisha

Anonymous said...

jihadhari na kukaa uchi kijana

 
Design by Kwetu Bongo